Rosa Ree na Rick Ross Mengi Mazuri Yanakuja, Rosa Afunguka

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA

Hivi karibuni Rappa tokea Marekani na mmiliki wa Record Label ya Maybach Music Group, @richforever alifunguka kuanza kusaini wasanii tokea Afrika katika maeneo tofauti na ataanza na wasanii wawili.Hii ni baada ya Rapa huyo kusherehekea Pasaka yake Nchini Nigeria na kukutana na vipaji vikali.

Hasa mingoni mwa wasanii ambao Rick Ross wanaclick kwenye kichwa chake ni pamoja Female Rapper tokea Tanzania, @rosa_ree a.k.a The Goddess na uwenda akawa ni mmoja wa wasanii ambao watakuwa signed kwenye Label ya Maybach Music Africa.

Kutokana na hili, Rosa Ree kupitia XXL (255) ya Clouds Fm hii leo Mei 11, amedai anajihisi ni mwenye kushukuru baada ya kuona Rapa kama Rick Ross ambaye amezoea tu kumuona kwenye mitandao na TV kuappreciate kazi zake,na wawili hao wamekuwa wakiwasiliana hasa kuhusu kazi, na hata alivyotoa project yake ya Blue Print, Rozay alitia neno na kuikubali. Rosa hajataka kufunguka sana zaidi ya kusema kuna vingi vikubwa kati yake na Rozay Vinakuja.

All the best The Goddessđź‘‘


 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA


 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad