5/30/2022

Tunda Man Aendelea Kumwagia SIFA Harmonize "Nilizani Trending Namba Moja YouTube ni ya Watu Maalumu"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

Kupitia Ukurasa wa Instagram wa Msanii @tundamantz Ameandika..

"Thanx mdogo wangu @harmonize_tz kwa hizi pongez ila ww ndio unahitaji pongezi nyingi zaid kwenye hii heshima kubwa ninayopewa kwenye nchi yangu na nchi zingine…wewe mdogo wangu @harmonize_tz umeweza kuni prove wrong kuwa trending NO 01 anakaa mtu yeyote mi nilijua namba moja ni kwa watu wachache tu..thanx kwa kujitoa kusurpot ngoma niliyokushirikisha kama yako nimefika no 1 mpka Qatar nchi yenye kombe la dunia bila kuandika barua ..wengi wanakupiga vita ila hawajua wanaempiga vita analindwa na moyo wake mwema ALLAH hawez kukuacha peke yako niamini..watu unaowasaidia pale kwako bila camera bila promo pamoja na mm nikiwemo ni jambo kubwa na ALLAH Atakupa mara mbili zaidi …Thanx kwa kunipambania na sikulipi chochote ila kuwa na moyo huo huo maaana moyo wako ndio kinga yako !!mi naaamini MTI WENYE MATUNDA
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger