Utafiti Unadhibitisha kuwa Wanawake wanahitaji usingizi zaidi kuliko WanaumeWakati mume wako anakusumbua uamke ili ubadilishe nepi, unafaa kumwonyesha utafiti uliofanywa na kupendekeza kwamba wanawake wanahitaji usingizi zaidi kuliko wanaume.

Hoja kwamba, wanawake au wanaume wana mahitaji tofauti tofauti wakati wa kupumzika. iliangaliwa kitambo sana, lakini watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Duke wanaamini kuwa wamepata majibu ya kumaliza mjadala huu.

Kabla ya kufikia tamatisho hili, watafiti waliangazia majibu mbalimbali kufuatia kukosa mapumziko ya kutosha.

Kwa kuangalia jinsi ambavyo wanaume na wanawake 210 wa umri wa katikati wanavyotenda mambo baaada ya kukosa usingizi, watafiti wagundua vitu tofauti za kugadhabisha:

1. Wanawake wanahitaji muda mrefu wa kulala kushinda wanaume kwa sababu akili zao ni changamani

Akili za wanawake na wanaume hazifanyi kazi kwa usawa: zinasindika data tofauti.

Akili za wanaume zinatumia pande ya akili ya ’gray matter’ sana, ambao ni upande wa akili ambao umejisitiri kikazi. Wanaume hulenga kufanya kazi moja lakini wanakamilisha jambo hilo moja baada ya nyingine.

Wanawake wanatumia pande ya akili ambayo inajulikana kama ‘white matter’ zaidi, kumaanisha kwamba wanaweza kufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja bila kupoteza mwelekeo.

Ndio maana kina mama wanatekeleza majukumu mengi wakati mmoja.

2. Wanawake wanahitaji muda mrefu wa kulala kwa sababu akili zao zinafanya kazi ngumu mchana.

Kulala kunawezesha akili kupona baada ya siku ndefu ya kazi nyingi. Kwa sababu akili za wanawake zinasindika data na kuipitia kwa makini, ndio maana wanahitaji muda mrefu wa kulala.

Tabia ya Kemikali za Neuro inaweza adhiri mtazamo wa wanawake na wanaume. Wanaume wana uwezo wa hali ya chini wa kukaa pahali pamoja, wana uwezo wa hali ya juu wa kimwili. Wanawake ni washauri wakubwa wanapo sindika data ya kiakili na kihisia kwa sababu ya uhusiano wa kiwango cha juu na sekta na chemba ya akili inayo hifadhi ujumbe. Wanaume wana tafakari kuhusu kumbukumbu za maisha lakini wana suluhisha mambo kwa haraka sana inapohitajika.

3. Wanahitaji masaa mengi ya kulala ili kupunguza kukasirika, kuhuzunika na shida za kiakili

‘Wanawake wamekuwa na kesi nyingi za huzuni, wanawake walikuwa na kesi nyingi pia za hasira na pia walikuwa na kiwango cha juu cha uadui asubuhi na mapema, kama mwandishi Michael Breus anavyosema, ambaye pia ni daktari wa tabia za kiakili na mtaalam wa usingizi.

Watafiti wametumia dodoso la hali ya juu ili kutathmini manufaa ya usingizi. Pia walijiingiza katika unao onekana kama msaada kutoka kwa marafiki na familia ili kujua kwa nini wanawake wana uadui sana kushinda wanaume.

[lakini wako tayari kukihisia kwamba kukosa uchangamfu wakati ambapo mtu hajalala kwa  muda ufaao unaadhiri wanawake na wanaume]

4. Wanawake wanahitaji usingizi zaidi ili kusaidia afya ya mifupa

Kukosa kulala muda ufaao unasababisha uadui katika wanaake, utafiti katika Chuo Kikuu cha Duke unasema kwamba kukosa kulala kuadhiri afya ya mishipa katika wanawake. Shida ya kupata usingizi inaeza sababisha ugonjwa wa sukari au war oho katika wanawake.

Inaonekana kwamba si ubora wa usingizi unaohusishwa na hatari za kiafya ilhali ni muda unaochukua ili upate usingizi kama mtafiti Edward Suarez aliambiia science Daily. ’Wanawake walioripotiwa kuchukua muda wa lisaa limoja au zaidi ili kupata usingizi wako katika hatari kubwa ya kupata shida za kiafya.

Kama utafiti unaofanywa unaonyesha, kuna ripoti maalam una vikwazo. Nambari ya waliohudhuria ni kidogo. Kwa hivyo, data ya kutosha lazima ikusanywe ile waweze kuwa na jambo la kutamatisha.

Lakini inagadhabisha kujua kwamba akili ya binadamu na vile ambavyo inaadhiri jinsi tunapitia maisha. Ujumbe huu unatupa mwangaza kuhusu vile ambavyo mume na mke watakavyo husiana kwa urahisi, inaweza saidia wawe wazazi wazuri kwa watoto wao.

đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

đŸ’¥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad