Wazee wa Yanga Waitaka Jezi ya Mayele Aliyobadilishana na Mchezaji Mara ya Mwisho Kufunga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Wazee wa Yanga wametoa Siku mbili Kwa mchezaji aliyebadilishana jezi na Mayele kwenye mechi ya Mwisho ambayo alifunga,

Wazee Wanasema kwamba mchezaji waliyebadilishana nae jezi airudishe jezi hiyo laa sivyo litakamkuta Jambo ambalo sio jema kwake na familia yake pia,

Mechi ya Mwisho Mayele kufunga ilikuwa dhidi ya Namungo.

🚶Picha kutoka Maktaba
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad