5/20/2022

Wema Sepetu "Shemu Wenu Anaupenda Mwili Wangu, Wewe ni Nani wa Kuniamulia"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

Wema Isaac Sepetu au Last Born wa Taifa; ni supastaa wa filamu nchini Tanzania ambaye amemtolea uvivu mmoja wa mashabiki wake ambaye amemwambia kuwa amekonda sana hivi anakula kweli milo mitatu?

Hapo ndipo Wema alipomjibu kwa kumwambia aache kumfuatilia kwani yeye anaupenda mwili wake na hata mpenzi wake anaupenda pia.

Wema amemjibu; “Ningekuwa tukunyema pia mngeniambia nipunguze milo....Ebu niacheni na mpambane na mwili wangu huu...

Mimi binafsi naupenda...Tukiachana na mimi binafsi, shem kama shem ndo haelewi kabisaaaaaa mambo ya mabonge....wewe ni nani kuniamulia...??? Tulia na wewe unywe ukwaju na apple cider upunguze kilo kama rahisi...Tusiharibiane siku pulizzzzz....”
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger