JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA
“Timu bora na inayotaka kufanya vizuri kimataifa kwanza inapaswa kulinda nyota wake wote bora kikosini, kisha iongeze wengine bora ili wakafanye vyema Afrika, kwa uzoefu na ubora wa Saidi ilishindikana kumpa mkataba wa miaka miwili?”
Nimeifikisha kwenu ndoto, tujadiliane ni rahisi kupata talent kama ya Saidi sokoni? Vipi kuhusu ubora na uzoefu wake?
0 Blogger:
Post a Comment