Mwanamuzi Peter Msechu Apata Mtoto Mwingine Aandika Haya "Nikioga Vizuri Hii Ndio Rangi yangu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kupitia Ukurasa wa Msanii @peter_msechu Ameshare Ujumbe baada ya Kufanikiwa kupata Mtoto Mwingine...

"Nyie Nyieeeeeee hivi mnajua Peter Msechu ana asili ya Bara la ulaya?? yaani mimi nikioga vizuri kabisa na sabuni ya mche na magadi halafu nikawa sina madeni ya kudaiwa hasa madeni ya gengeni hapa nje kwetu halafu nikawa nina mihela ya kumwaga hii ndio huwa Rangi yangu kweli kabisa naapia😂😂😂😂😂 tatizo mnaniandama sana na ndugu zangu mnanifubaza nakuwa mweusi😂😂😂🤦🏿‍♂️ narudia tena je ni Boy/Girl💖💙??? Stay tuned kujua jinsia itadhaminiwa 😜😜😜 Mtoto ana siku mbili tu ila kashaniingizia pesa za ubalozi😂😂😂😂 afu utasikia mtu anamshauri Mama lolo @ama_lauren usikubali huyo bonge akupe mimba nyingine sikiliza ndugu yangu yaani hawa watoto watatu ndio nilikuwa kwenye majaribio je Mama lolo anatoa vitu? sasa amefuzu interview ataanza rasmi kujifungua mwakani akishabalehe😂😂😂😂😂😂😂😂 Picha kamili za mtoto zitaonekana @peter_msechu_kids "

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad