Breking News: Profesa Jay Aruhusiwa Kurejea Nyumbani Kutoka Hospitalini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hospitali ya Taifa Muhimbili imesema Joseph Haule (Profesa Jay) ameruhusiwa kutoka Hospitalini jana na kwenda nyumbani baada ya hali yake kiafya kuonekana kuimarika.


Msanii huyu nguli wa Bongofleva ameruhusiwa kutoka Hospitalini baada ya siku 127 za kutibiwa kwenye Hospitali hii ya Taifa iliyopo Jijini Dar es salaam

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad