Ticker

6/recent/ticker-posts

CV ya anayeitwa Kocha wa Makombe Simba SC

Club ya Simba SC imemtangaza Zoran Maki (59) kuwa Kocha wao Mkuu , Zoran amewahi kuwa Kocha wa Wydad Casablanca ya Morocco, De Agosto ya Angola na CR Belouzidad ya Algeria.

Kama humfahamu vizuri Kocha mpya Simba SC amekuwa na rekodi nzuri lakini imeleta maswali ya kukaa muda mfupi katika club alizofundisha ndani ya miaka mitano iliyopita.

Zoran alifundisha De Agosto ya Angola (2017-2019) na kuifikisha nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2018, Wydad Casablanca ya Morocco 2019-2020, October 2020 akahamia Al Hilal ya Sudan, April 2021 akahamia CR Belouizdad na August 2021 akajiunga na Al Tai ya Saudi Arabia.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments