Hatimaye Jacqueline Ntuyabaliwe MENGI Achaguliwa Kuwa Balozi...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Miss Tanzania mwaka 2000 Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi @j_n_mengi amechaguliwa kuwa balozi wa wa wanawake wenye ulemavu Tanzania.

Jacqueline ambaye ni Mwanzilishi wa taasisi ya Dr. Ntuyabaliwe Foundation ambayo imelenga kuchochea watoto kujisomea vitabu, ameshukuru kwa kupatiwa nafasi hiyo.

"Natoa shukrani kwa @shivyawata kwa kunichagua kuwa Balozi wa wanawake wenye ulemavu Tanzania. Najua zipo changamoto nyingi mno kwa mwanamke mwenye ulemavu na natumaini kuwa kwa pamoja tutashirikiana kutafuta mbinu za kuzitatua," ameeleza @j_n_mengi kupitia ukurasa wake wa Instagram

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad