6/10/2022

Hukumu ya Kesi Lengai Ole Sabaya na wenzake Kutolewa Leo

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

 


Hukumu ya kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake inatarajiwa kutolewa leo Juni 10, 2022 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha

Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Patricia Kisinda aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo, alipanga kutoa hukumu hiyo Mei 31, 2022 lakini ilishindikana kutokana na kudaiwa kuwa nje ya Kituo cha Kazi

Sabaya na wenzake pia walifunguliwa mashitaka mengine ya Uhujumu Uchumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, Juni Mosi, 2022 ambayo bado yanaendelea

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger