6/08/2022

Huu Hapa Ndiyo Msimamo wa Tundu Lissu Kuhusu Kurudi Tanzania

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu, amesema kwamba mara baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani Mhandisi Hamad Masauni, kusema kwamba wale wote walioondoka nchini kwa sababu za kisiasa warudi, yeye na wenzake kwa sasa wataanza kujiandaa kurudi.

Lissu ametoa kauli hiyo hii leo Juni 7, 2022, wakati akizungumza kwenye #EATVSaa1 moja kwa moja kutoka nchini Ubelgiji, licha ya kutotaja tarehe rasmi, amesema kauli ya serikali juu yao ni nzuri hivyo yeye na wenzake watawasiliana na viongozi wao,pamoja na familia zao ili kuona wanarudije yumbani
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger