AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
NUSU fainali ya michuano ya Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati(CECAFA) kwa wanawake inapigwa leo, Tanzania Bara ikivaana Burundi kwenye uwanja wa FTC Njeru, Jinja Uganda.
Mchezo mwingine wa nusu fainali hiyo utazikutanisha wenyeji Uganda watakaopambana na Ethiopia.
Kufikia hatua hiyo Tanzania Bara iliongoza kundi B la michuano hiyo ikifuatiwa na Ethiopia huku Uganda ikiongoza kundi A na kufuatiwa na Burundi.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK