Mapya yaibuka! Kim Kardashian Aendelea Kuhaha Kuhakikisha Hazeeki Kisa Kiben Ten

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mapya yaibuka! Kim Kardashian(41) aendelea kuhaha kuhakikisha hazeeki ili aendane muonekano na mpenzi wake mpya Pete Davison(28) asije kuambiwa kikongwe anambemenda jamaa huyo


Sasa katika kutimiza hilo Kim ameripotiwa kumtafuta Victoria Beckham(50) ili kumuuliza anafanyafanyaje asizeeke na kuendelea kuwa binti mbichi. Kim amekuwa akihakikisha anasoma kila kitu anachoandika Victoria Beckham kuhusu mambo ya urembo ili apate chochote na yeye akatumie mbele ya safari asije kuzeeka ikiwa bado mapema mno


Ukiacha hilo, Kim amekuwa akitumia njia mbalimbali za kuipa lifti ngozi yake isije kudondoka mapema akazeeka


Hiyo tisa, kumi, Kim ashatumia majongoo aina ya ruba(leeches) kwa kuyaweka usoni ili yamsaidie azidi kuwa na ngozi nyororo ya kuvutia


Majongoo hayo yanaweza kuwekwa katika sehemu yoyote mwilini, yananyonya damu sehemu ambayo labda damu imesimama au kwenda taratibu mno na tishu za ngozi kuharibika hivyo majongoo yanachochea mzunguko wa damu vizuri na kufanya tissue za ngozi zizidi kuwa vizuri. Jongoo hao pia mate yao yanatoa kimeng'enyo ambacho kinasaidia kuimarisha ngozi na faida nyinginezo nyingi


Matibabu ya kutumia hao jongoo aina ya ruba, kitaalamu inaitwa leech therapy. Lakini inaelezwa jongoo hao ni maalum sio jongoo yoyote(ruba) wa kuokoteza mitaani au katika madimbwi ukamuweka kwenye ngozi unaweza kujuta baadaye. Jongoo hao wakishawekwa kwenye ngozi daktari au mtaalamu anajua namna ya kuwadhibiti pia kuendana na muda ili wasinyonye sana damu ya mtu au kuleta madhara


Saloon nyingi siku hizi huko Ulaya, Marekani na Asia zina huduma ya jongoo hao na mastaa kibao wanaoonekana wenye ngozi za kuvutia wanapitia hatua hizo


Ukiachana na jongoo hao, Victoria Beckham pia amekuwa akitumia urembo wa kinyesi cha ndege flani kutoka nchini Japan ili asizekee na kuandelea kuvutia kwa kila mtu


Hivi karibuni Kim alisema moja ya kilichofanya aingie kwenye mahusiano na Pete ni baada ya kusikia fununu kuwa jamaa kajaaliwa mashine kubwa na sasa Kim hataki kumpoteza Pete

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad