Meneja wa Harmonize Afunguka Kumtetea Kajala " Kajana Ana IQUE Kubwa Sana Anauelewa Mziki na Soko lake"


Meneja wa Konde Music Worldwide @choppa_tz amezungumza na Planet Bongo ya East Africa Radio kuhusu kumtangaza Kajala kuwa meneja wa label hiyo ya Muziki. Amesema


“Ni kweli tumetangaza kama Kajala ni Manager na CEO pia, kuhusiana na majukumu yake yatakuwa ya kawaida 'as a manager' ni ku-manage shughuli zote za Konde Music Worldwide kuanzia kwa Harmonize mpaka wasanii wengine kama ilivyo sisi kwa ma-meneja wengine” amesema Choppa na kuongeza;


“Kajala sio mgeni yupo kwenye hii Industry kwa muda mrefu sana hata kama kwa upande wa movie lakini movie na mziki ni vitu vinavyoshabihiana ni vitu ambavyo anavijua, ana ique kubwa sana, anaelewa mziki na soko linataka nini na hakuna kitu kigeni kwake” Choppa.

______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad