6/05/2022

Rayvanny Achafukwa Kwa Wanaoponda VIDEO Yake Mpya Akiwa na Zuchu, Afunguka Haya Kwa Uchungu

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Hatimaye msanii Rayvanny afunguka kuwajibu wanaoisema vibaya scene aliyounguza nyumba katika video mpya ya wimbo wake 'I Miss You' akiwa na Zuchu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika...

"Nimepokea meseji nyingi sana kila mtu akisema lake kuhusu hii scene.

NI HIVI: Hii ni sanaa ambayo tunabidi tuipe heshima kubwa hata mataifa ya mbali wakiona wajue kua kumbe Tanzania kuna watu wapo serious na kuna vitu vinawezekana. UNAWEZA SEMA NI KUFURU ILA HUJUI KUA NI INVESTMENT

Ni kama movies tu za nje wanatumia mabilioni na wanarudisha mabilioni zaidi. Hivyo sina nilichoharibu hapo ila NIMETENGENEZA.

KWA MNAOSEMA BOX, MARA MBAO NIWASAIDIE TU NENDA KA GOOGLE KITAALAMU INAITWA ( BOARD HOUSE ) KAJARIBU KUJENGA AFU CHOMA 😂

MBONA HAJAUNGUA NYWELE: AJALI SIO LAZIMA MTU AUMIE UNAVYOTAKA WEWE …Inaweza gari ikaharibika ovyo ovyo kabisa na mtu akatoka bila hata Kovu" - Unasomeka ujumbe wa @rayvanny

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger