6/15/2022

Shilole "Nina Waganga 12 Kwa Ajili ya Kuhakikisha Nina Pata Mtoto"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Kutoka kwa mwanamuziki na mjasiriamali Shilole amewaka wazi kuwa amekua akitamani kupata mtoto na mume wake Rommy kiasi cha kuwa na jumla ya waganga 12 kwa ajili ya kumsaidia kupata mtoto.

Shishi amesema hayo wakati akijibu swali la mtangazaji wa Wasafi media kwenye kipindi cha The Switch aliyetaka kujua ni lini atapata mtoto katika ndoa yake na mume wake rommy3d.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger