Simu iliyopotea mtoni miezi yapatikana nzima

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Simu aina ya iPhone iliyopotea mtoni imepatikana miezi 10 baadae na kurudishwa kwa mmiliki wake ikiwa bado inafanya kazi.

Miguel Pacheco (29) wa Uingereza aliokota simu hiyo mwezi huu kwenye mto Wye na kushea picha kwenye mtandao wa Facebook ili kujaribu kumpata mmiliki.

Alikwenda na simu hiyo nyumbani, akaikausha na kesho yake alianza kuichaji na kushangaa ilikuwa inafanya kazi.

Posti yake ya Facebook ilisambazwa na watumiaji wa mitandao ya kijamii na hatimaye mmiliki wa simu hiyo Owain Davies (35) alipatikana.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad