Vita ya Faiza Ally na Mke wa Sugu Happy, Kumbe Happy Ndio Mchokozi Ona Alichopost Leo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kutoka Katka Ukurasa wake wa Instagram Happiness Mbilinyi mke wa Sugu ameandika haya :

"Binti yangu, hii ilikuwa nipost siku ya birthday yako 26/09! Lakini naona mbali 😃 Hapo nilitoka kukuvalisha hivyo vihereni vya gold nilizokupa zawadi kwa kutimiza miaka 3 mwaka 2015.😃Nikikuona hapo nawaona wadogo zako Shawn na Freeman, kwa niaba yao tunakupenda sana dada Sasha na nitahakikisha kaka zako wanakupa ulinzi maana ni jukumu lao kwa dada yao! Hii picha na zingine utazikuta kwenye fremu nyumbani Mbeya my daughter! ❤️❤️❤️❤️

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad