6/23/2022

William Ruto "Nikipata Urais Kenya Nitawafukuza Wachina"

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


 Mgombea wa kiti cha urais nchini Kenya William Ruto, anaewania kiti hicho chini ya Muungano unaofahamika kama Kenya Kwanza, ametoa ahadi ya kukuza uchumi, na kuahidi kuwafukuza Wachina wote wanaofanya kazi ambazo zinaweza kufanywa na wazawa.


Ruto amesema Iwapo atapenya katika uchaguzi mkuu amabao, unatarajiwa kufanyika Agosti 9 mwaka huu, amesema wapo wachina wanaofanya biashara ya mahindi ya kuchoma na simu mtaani nchini Kenya.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger