Adaiwa Kuua Mke Wake Akimtuhumu Kuiba Elfu 10

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Maria Sakware, mkazi wa mkoa wa Manyara, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu baada ya kushambuliwa kwa fimbo na mume wake aitwae Petro Fabiano na kumsababishia majeraha katika mguu wa kushoto na kumvunja mkono wa kushoto kwa kumtuhumu kuwa amechukua elfu 10.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara ACP Benjamin Kuzaga, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

"Timu ya makachero baada ya kufuatilia kiini cha tukio hili ilibainika kuwa huyu mume alikuwa akimpiga kwavmadai kwamba haoni shilingi elfu kumi kwahiyo akiwa anamtuhumu kwamba amemchukulia, ndiyo kilichokuwa chanzo cha kipigo hadi kupelekea kufa," amesema kamanda Kuzaga

Aidha Kamanda Kuzaga, amewataka wananchi kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi pindi wanapowabaini wahalifu na siyo kushirikiana nao.-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad