Ticker

6/recent/ticker-posts

Binti Kutoka Tabora Aoteshwa Kuolewa na Mbosso


Kupitia Refresh ya Wasafi TV, msanii tokea record label ya WCB, @mbosso_ ambaye anafanya vizuri na ngoma yake ya MOYO hivi sasa, ameweka wazi kusumbuliwa na wanawake wengi wanaotaka awaoe. Mbosso ametoa kisa cha mwanamke mmoja toka Tabora ambaye alienda kwenye nyumba ya ibada kumuombea Mbosso na wakati anatoka kuswali akapewa pesa na mtu, Mwanamke huyo akiamini pesa hiyo ni nauli ya kwenda Dar kumuona Khan.

Mwanamke huyo alihusishanisha kitendo cha kutoka ibadani kumuombea Mbosso na kukutana na mtu kisha akampa pesa, basi ni maono kuwa anatakiwa kuolewa na Mbosso. 😁

Ushawahi oteshwa kuoa/kuolewa na staa gani?

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments