Hatimaye Aliyekuwa Golikipa wa Yanga Afunguka Kuhusu VIDEO Chafu "Waliunga Unga Video Kunichafua"


 "WALIUNGA UNGA PICHA"- KABWILI

"Kwenye maisha kuna changamoto nyingi sana. Kukaa kimya ni jambo sahihi sana. Waliiunga unga picha kunichafua mimi na Ugali wangu, Changamoto niliyopitia sikuwa vizuri sana kiakili meneja wangu aliripoti polisi na Muhusika ameshakamatwa na kesi ipo mahakamani. Nilipata changamoto ambayo ningeweza hata kumpoteza mama yangu. Ilifikia hatua mama yangu alikuwa analia na Mimi nilikuwa nalia" Kabwili , aliyekuwa Golikipa wa klabu ya Yanga.

______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad