Ticker

6/recent/ticker-posts

Dulla Makabila "Kumuomba Diamond Msamaha Najua Majjizo Atakasirika"

 


Akiongea na wanahabari siku ya jana katika viwanja vya maonyesho ya Sabasaba msanii huyo wa Singeli @dullamakabila ameeleza namna alivyotunga wimbo kwa ajili ya kumuomba @diamondplatnumz msamaha.


“Najua nilimkosea @diamondplatnumz na kabla ya kutoa wimbo niliomba ushauri ili isijekuonekana kama nakifanya naomba msamaha ili nitoe wimbo”


“Najua @majizzo atakasirika ila sina tatizo naye” aliongeza @dullamakabila

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments