Ticker

6/recent/ticker-posts

H Baba "Nimeuza Magari yanga na Vitu Vingine vya Tamani ya Milioni 85 Kwa Ajili ya Harmonize"


Kutoka kwa mwanamuziki H Baba amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu tofauti yake na mwanamuziki Harmonize ambapo amedai kutumia zaidi na Million 85 pamoja na kuuza magari yake ya thamani ili kumpa sapoti Hamornize, lakini Harmonze hakujali kuhusu hilo

Kupitia kipindi cha The Switch mkongwe huyo amefunguka.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments