Ticker

6/recent/ticker-posts

Hatimaye Lulu Diva Arejea Akiwa Fiti, Awatega Mashabiki WakeMSANII wa Bongo Fleva, Lulu Abbas maarufu kama Lulu Diva kupitia insta story yake amedokeza ujio wa ngoma yake mpya hivi karibuni.

Lulu ameandika ujumbe ambao unaashiria kuwa ngoma hiyo itakuwa ni kolabo na kuna msanii kamshirikisha, je ni nani huyo? Awaachia swali hilo mashabiki wake wajaribu kumtaja.


Hii inakuja ikiwa ni wiki chache baada ya video zake za utupu kusambaa mitandaoni huku akidai kuwa aliyefanya tukio hilo ni aliyekuwa mpenzi wake huku akiamua kukaa kando na mitandao ya kijamii kwa muda.

“New Release Lulu Diva Ft …?” Unasomeka ujumbe wake.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments