Ticker

6/recent/ticker-posts

Malkia Karen "Nilitaka Mtoto Nikaenda Hospitalini Nikanunua Mbegu Nikajiwekea Dakika Tano tu"


“Siku hizi ukitaka mtoto sio lazima mfanye physical contact, kila siku naulizwa baba mtoto yupo wapi issue ni kwamba nilipofikia uamuzi wa kupata mtoto, sikuweza kupata mwenza wa kupata naye mtoto.

Nilichokifanya nilienda hospitali nikachukua mbegu za kiume nikaziweka kwangu ni suala la dakika tano tu. Hicho ndo nilichokifanya, hiyo issue ilinitesa sana, kuna mbegu ambazo zipo donated hospitalini” amesema Malkia Karen

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments