Ticker

6/recent/ticker-posts

Takribani abiria 41 wamenusurika katika ajali ya basi la Happy Nation
Abiria 41 waliokuwa wakisafiri na basi la Happy Nation wakitokea Dar es Salaam kuelekea Mwanza, wamenusurika katika ajali baada ya basi lao kugongana uso kwa uso na lori aina ya Scania katika eneo la Mkambarani, mkoani Morogoro.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Morogoro, ACP Ralph Meela, chanzo cha ajali hiyo iliyotokea leo ni uzembe wa dereva wa basi aliyeacha njia yake na kulifuata lori hilo.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments