AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Dar es Salaam. Msanii wa filamu Farida Sabu maarufu kwa jina la 'Mama Sonia' amefariki.
Mama Sonia amewahi kutesa katika maigizo mbalimbali ya kundi la Kaole na karibuni alitamba na tamthilia ya Kapuni.
Taarifa hiyo imethibitishwa leo Alhamisi Julai 21, 2022 na Mwenyekiti wa Chama cha Waigizaji, Chiki Mchoma
Mchoma amesema mama Sonia amekutwa na umauti leo akiwa Zanzibar kwa mtoto wake aliyekuwa akimuuguza.
"Msiba upo Zanzibar na atazikwa hukohuko," amesema Mchoma
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK