Ticker

6/recent/ticker-posts

Uongozi wa Klabu ya Yanga Umetoa Taarifa Kufuatia Adhabu Aliyopewa Manara


Uongozi wa Klabu ya Yanga umetoa taarifa kufuatia adhabu iliyotolewa na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kwa Msemaji wake Bw.Haji Manara ambapo umebainisha kuwa umesikitishwa na maamuzi hayo na kwamba Klabu hiyo inaamini kuwa Bw.Manara hakutendewa haki kwani adhabu hiyo ya kufungiwa miaka miwili na faini ya Tsh. Mil. 20,000,000/= ni kubwa.
.
Hivyo, Klabu hiyo imesema inamuunga mkono Bw.Haji Manara katika kudai haki yake kwenye vyombo vya juu zaidi vya kimamlaka.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments