Ticker

6/recent/ticker-posts

Wema Wampona Mayele Kuwa Mchezaji Mwenye Magoli Mengi zaidi

 Nilifatilia kwa umakini sana uchezaji wa Mayele. Kila baada ya kufunga goli mara kadhaa alijivunja ili kumpa nafasi mkongo mwenzaje Makambo acheze.


Kuna mechi nyingi tu angeweza kufunga goli zaidi ya moja au hata kupata hatriki lakini tabia yake ya kujivunja ndo imemgharimu. Ni ngumu kuwa mfungaji bora kwa wastani wa kufunga goli moja moja.


Wema wake ndo uliomponza na anatakiwa ajilamu yeye mwenyewe.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments