Ticker

6/recent/ticker-posts

Afande Sele awavaa wanaomsema vibaya bondia Mandonga, ‘Ipo siku mtu atachezea, atakufa jukwaani’Baada ya kuwepo kwa maneno mengi hususani kwa wakazi wa Morogoro kuhusu Bondia Kareem Mandonga wakisema anaudharaulisha Mkoa kutokana na rekodi yake kupoteza Mapambano mawili mfululizo.
Ayo TV  na MillardAyo .com imefunga Safari hadi nyumbani kwa Afande Sele Mtaa wa Modeko  Manispaa ya Morogoro ambapo ameufunguka kuhusu Kareem Mandonga huku akiwataka watu waache kumsema vibaya mitandaoni licha bondia huyo kupoteza mapambano kadhaa hizi karibuni.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments