Kwa uzoefu wangu huu penzi la kweli halipatikani kwa kuhonga bali kuridhiana na kupendana.
Utakuta Mwanaume anajisifia yule demu kaoza kwangu achomoi kitu, kumbe ana actiwa kupendwa sababu anahonga sana, bila hivyo asinge ona hata kufuli kuacha tu kuivua ha ha ha
Usijidanganye wala kujipotezea muda na pesa zako kuhonga kutafuta penzi la dhati utajuta bure, utaishia kuchunwa zikiisha tu unaachwa anatafutwa mwingine
Karibuni wadau kuongezea elimu au kuniweka sawa
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
0 Comments