Ticker

6/recent/ticker-posts

Clouds Media Watangaza Kurudi Kwa Tamasha la FIESTA Mwaka Huu

 


Clouds Media Group imetangaza ujio wa FIESTA 2022 usiku huu kwenye shamrashamra za mwaka mpya wa burudani unaoanza August 1 ambapo FIESTA ya mwaka huu kauli mbiu ni ‘weka maneno’


Mwenyekiti wa Kamati ya FIESTA Sebastian Maganga @sebamaganga ambaye pia ni Mkuu wa Maudhui Clouds Media Group amesema kwa wiki mbili kutoka sasa WanaCloudsnia popote Tanzania watakuwa na nafasi ya kujipakulia minyama yote kwa kuchagua wanaitakaje FIESTA ya mwaka huu.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments