Ticker

6/recent/ticker-posts

Mrembo Huddah Kutokea Nchini Kenya Aukubali Uke Wenza


Mrembo Huddah kutokea nchini Kenya, amesema hatojali ikiwa mwanaume wake ataoa mke wa pili kama ana uwezo wa kifedha na kuwajali wote.

Hivyo ataruhusu hilo ili kupata wa kusaidiana nae majukumu, hafikirii kumuhudumia mwanaume wake maisha yake yote.

"Nilimwambia rafiki yangu, sitojali kama mwanaume wangu atakuwa na mke wa pili, kama ni tajiri na ana uwezo wa kutuhudumia, sina shaka. Siwezi kufikiria kumuhudumia mwanaume wangu maisha yangu yote. Kuna wakati ntakuwa nachoka, hata yeye pia atachoka. Kila mtu huchoka na wakati." - Ameeleza Huddah kupitia insta story yake.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments