Ticker

6/recent/ticker-posts

Nandy Afunguka "Zuchu ni Rafiki yangu na Nazungumza Naye Sana Kupitia WhatsApp"

 


Kuhusu kile kilichozungumzwa kuwa Nandy ana ugomvi na Zuchu ameweka sawa kuwa yeye na Zuchu ni marafiki na huwa wanachati sana kupitia mtandao wa WhatsApp.


Nandy ameongeza kuwa mara ya mwisho kuchati na Nandy ni baada ya Harusi na kwamba Zuchu alimpongeza baada ya kufunga ndoa na @billnass

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments