Rais Mteule William Ruto Akubali Kuitikia Wito Wowote wa Mahakama

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Rais Mteule wa Kenya William Ruto na Mwanasiasa Mkongwe Raila Odinga

BAAADA ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Kenya Rais Mteule William Ruto Ameongea na waandishi wa habari na kusema watashiriki katika wito wowote utakaotolewa na Mahakama juu ya matokeo ya uchaguzi.

Mpinzani wa Rais huyo mteule ambaye pia ni mwanasiasa mkongwe wa Kenya Raila Odinga alipinga matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo.

Katika kufuata demokrasia Odinga alisema atafungua kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu huo uliofanyika Agosti 9.

Ruto amezungumza na waandishi wa habari baada ya kukutana na viongozi waliochaguliwa kutoka muungano wake wa kisiasa. Ruto amesema matarajio ya Wakenya ni makubwa na anaendelea na juhudi za kuunda serikali yake, ambayo haitamtamfungia nje yeyote kwa misingi ya chama au kabila.

Imeandikwa: Dunstan Mtili Erick kwa msaada wa mitandao

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad