Uchaguzi Kenya..Ruto Aburuzwa Kwa Idadi ya WabungeKwa matokeo ambayo yametangazwa hadi kufikia Agosti 12, Mgombea wa Azimio la Umoja, Raila Odinga amepata Wabunge 134 ambapo 88 wanatoka Chama chake cha ODM

Kwa upande wa Naibu Rais, William Ruto wa United Democratic Alliance (UDA), amekusanya viti 101 vya Wabunge

Atakayeshinda Urais bila kudhibiti Bunge linaloundwa na Bunge la Kitaifa na Seneti, anaweza kuwa kwenye wakati mgumu wakati wa kupitisha Sheria na Bajeti.💥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

💥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

💥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad