Blac Chyna Kinara wa Kutengeneza Pesa Mtandao wa Only fans..Anaingiza Mabilioni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwanamitandao wa Marekani, Blac Chyna kwa sasa ndiye kinara wa kutengeneza pesa kwenye mtandao wa OnlyFans, ametajwa kuingiza kiasi cha ($20 million) zaidi ya TSh. Bilioni 46 kila mwezi kwa mwaka 2021. Chyna hutoza kiasi cha ($19.99) takribani TSh. Elfu 46 kwa mwezi kutazama maudhui yake ya picha na video kwenye Jukwaa hilo maarufu.

Chyna mwenye umri wa miaka 34 na watoto wawili, ametengeneza kiasi cha ($240 million) zaidi ya TSh. Bilioni 560 kwa mwaka 2021 kupitia akaunti yake ya OnlyFans. Mbali na Blac Chyna, nafasi ya pili imeenda kwa mwigizaji Bella Thorne ambaye alitengeneza ($11 million) zaidi ya TSh. Bilioni 25 kwa mwezi mwaka 2021. Cardi yupo namba 3 akiingiza ($9.34 million) zaidi ya TSh. Bilioni 22 kwa mwezi.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad