Juma Mgunda ana Diploma A ya CAF – TFF

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF limetoa Orodha ya makocha wenye CAF A Diploma likiwemo jina la Kocha mpya wa Simba Juma Mgunda ambaye ametikisa mitandao ya kijamii kwa kuhofiwa kuwa hana levo hiyo ya ukocha na hivyo kuzua hofu kwa mashabiki wa soka juu ya hatma yake ya kuisimamia Simba kwenye michezo ya Kimataifa.

TFF imemtaja Juma Mgunda kama Kocha mwenye CAF A Diploma ya ukocha huku Shirikisho hilo ikiwataja na wengine na hivyo kumaliza utata.




-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad