Kajala Masanja Kazawadiwa Simu Aina ya iPhone 14 Pro Max na Harmonize

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa


Konde Boy na mwendo wa kumfurahisha mpenzi wake Kajala. Boss huyo wa Konde Gang @harmonize_tz tayari kashamnunulia Kajala simu mpya aina ya iPhone 14 Pro Max. Kajala amethibitisha hilo kupitia insta story yake.


"Mshikaji wangu katisha" - Unasomeka ujumbe wa @kajalafrida kupitia insta story yake alioambatanisha na video hiyo.


Fahamu, Simu mpya aina ya iPhone 14 Pro na Pro Max ambazo zimezinduliwa hivi karibuni na Kampuni ya Apple, zinatajwa kuwa na mambo mbalimbali mazuri ikiwemo kamera yake yenye uwezo wa kupiga picha zenye ubora wa hali ya juu.

_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad