Kumekucha..Zuchu Amshitaki Ostaz Juma TCRA Kwa Kumkashifu Yeye na Mama yake Khadija Kopa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kutoka Kwenye Ukurasa Wa Instagram Wa Msanii Zuchu Ameandika: 

"Sijawahi kutafuta heshima kwa wanaadamu sipotezi muda na si hulka yangu .Lakini nadhani kuna Muda Inabidi Ufundishe watu namna Ya kukuheshimu .Mimi ni Binti mwenye ndugu ,Marafiki na Familia inayonizunguka lakini pengine pia Ni kioo kwa watu kadhaa .Halikadhalika mamayangu Mzazi LEGENDARY Nguli alieipa Tasnia hii Heshima kashiriki kampeni toka za Mwalimu nyerere Mpaka Raisi wetu wa sasa mpendwa Mama yetu Mama samia .Hajawahi mdhihaki mtu si mgomvi na najua wazi kwa ufahamu wangu hatumjui Kabisa huyu baba .Nadhani Imefika wakati sasa Tuwe na hakiba ya Maneno huu umaarufu wa kuutafuta Bila Vipaji Matokeo yake huwa si Chanya .Nipo kwenye mazungumzo na Taasisi Zinazojihusisha Na haki za Wanawake Bado natafuta muongozo sahihi Kama mpo naomba ushiriakiano wenu .Mimi si mkamilifu kweli Lakini kuongelea maumbile yangu na ya mzazi wangu Na kutudhalilisha kwa lengo la kujipatia faida ya kimitamdao Sidhani kama ni sahihi @tcra_tanzania NAOMBA MUONGOZO .Nimeongea na Manager wangu tayari tunalishughulikia hili kisheria sijapenda na sifurahishwi na dhihaka za makusudi kama hizi .BABA ULIETENGENEZA MAUDHUI HAYA UJUMBE WANGU WA WAZI UKUFIKIE NASEMA ASANTE NA TUKUTANE KWENYE MKONO WA HAKI.''
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad