AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dkt. Hedwiga Swai amesema kwa sasa kuna dawa za UKIMWI ambazo mtu anaweza kutumia kabla ya kufanya tendo la ndoa ili kumkinga na maambukizi.
Ameongeza pia kuwa watu wanaweza kufika TACAIDS kupata dawa za kuzuia maambukizi ya UKIMWI endapo mtu amepata majeraha yoyote yanayoweza kusababisha maambukizi hayo.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK