Meridianbet Waongoza Zoezi la Usafi Upanga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kampuni ya Maridianbet imeongoza zoezi la usafi katika maeneo ya bustani inayomilikiwa na serikali Upanga, Mtaa wa Charambe. Serikali ya mtaa wa Charambe pia ilishiriki zoezi hili. 

Kampuni hii imeshirikisha wadau mbalimbali wanaozunguka eneo hilo, wakiwemo wafanyakazi na wafanyabiashara wa maeneo hayo. Serikali ya mtaa, ikiwakilishwa na mwenyekiti na mtendaji nao walishiriki kuunga mkono jitihada za kampuni ya Maridianbet

Afisa masoko wa kampuni hii, Twaha Mohammed akiwakilisha kampuni ya Meridianbet amesema wanafurahi kushirikiana na serikali na majirani kufanya usafi wa mazingira kama muendelezo wa wajibu wao kwa jamii.

"Nimefurahi sana, ikiwa ni mwendelezo wa ushiriki wetu kwenye masuala ya kijamii. Wki iliyopita tulitoa vifaa vya usafi na vifaa tiba kwenye hospitali ya Madale, kwa kumalizia mwezi huu tukaona tufanye usafi hapa Upanga, tushirikiane na wananchi na serikali" – Afisa Masoko, Maridianbet 

Kwa upande wa mwenyekiti, wa serikali ya Mtaa mwenyekiti amesema amefurahi sana kushiriki zoezi hili, na angependa eneo hili lishughulikiwe kila mwezi kwa ushirikiano wa majirani wote wa eneo hilo. 

“Eneo hili ni vyema tushirikiane, ili tufanye usafi kwa pamoja kila mwezi. Alitoa wito kwa wafanya biashara wa eneo hilo kuzingatia usafi na kuhakikisha mazingira yako salama”

Meridianbet wamekuwa na utaratibu wa kushiriki shughuli za kijamii, na kurejesha kwa Jamii. Wakishiriki shughuli za kimichezo, misaada kwa makundi maalumu na udhamini. 

Maridianbet ni Kampuni Bora na kongwe ya ubashiri Tanzania, ambayo imejipambanua kwa kutoa ofa bora za ubashiri wa michezo mingi, wakiwa na zaidi ya see 6000 ya kasino ya Meridianbet. Meridianbet pia hushirikiana na waandaaji wa michezo ya kasino kuendesha Jackpot za michezo ya kasino. 

Jisajili na ubashiri na meridianbet kupitia www.meridianbet.co.tz, au piga *149*10# kubashiri bila intaneti ukiwa na mtandao wa Tigo na Airtel.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad