Mwanamuziki Future Aripotiwa Kuuza Haki ya Nyimbo zake Kwa Mabilioni ya Pesa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Future ameripotiwa kuuza haki za nyimbo zake za kuanzia mwaka 2004 hadi 2020 kwa Kampuni ya Influence Media Partners. Tovuti za Variety na Billboard zimeripoti, dili hilo linatajwa kuwa na thamani ya kuanzia ($65M - $75M) yaani zaidi ya TSh. Bilioni 175.

Catalog iliyouzwa na Future ina Jumla ya nyimbo 612 ikiwemo Kolabo za wakali kama Drake, Kendrick Lamar, Rihanna na The Weeknd. Mwaka 2022 Kampuni ya Influence Media Partners ilitumia kiasi cha ($300 million) kununua haki za nyimbo za Bruno Mars, Dua Lipa, Ariana Grande na Justin Bieber.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad