Mkurugenzi Mwingine PSSSF Ajikopesha TSH Milioni 200 Kununua Gari Binafsi
Mkurugenzi wa Mifumo ya TEHAMA wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Gilbert Chawe, amefikishwa kwenye Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma akituhumiwa kukiuka taratibu za Mfuko huo

Chawe alitumia Fedha za Umma Tsh. Milioni 200.7 kununua Gari binafsi pamoja na kulipa kodi ya ununuzi huku akijua Fedha hizo hazikutengwa kwenye bajeti ya Mwaka 2020/21.

______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA 
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad