Mzee wa zaidi ya miaka 70 akutwa akilawiti mtotoMzee Jackson Lukondo mwenye umri wa zaidi ya miaka 70 anashikiliwa na vyombo vya dola baada ya kukutwa kichakani akimlawiti mwanafunzi wa kiume wa shule ya msingi Masawe mwenye umri wa miaka 14 na kisha kumtishia kuwa atamuua pindi atakaposema kama analawitiwa.

Mzee Jackson Lukondo mwenye umri wa zaidi ya miaka 70 anashikiliwa na vyombo vya dola baada ya kukutwa kichakani akimlawiti mwanafunzi wa kiume wa shule ya msingi Masawe mwenye umri wa miaka 14 na kisha kumtishia kuwa atamuua pindi atakaposema kama analawitiwa. Akizungumza na EATV mtoto huyo amesema mzee huyo amekuwa akimdanganya anamfundisha tohara inavyofanywa kisha anamuingilia kinyume na maumbile hadi mara hii alipokutwa kichakani na mashuhuda.💥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

💥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

💥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad