Pambano kati ya bondia Karim Mandonga na Salim Abeid Lafutwa..Kisa Hichi Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Pambano kati ya bondia Karim Mandonga na Salim Abeid limefutwa kutokana na mwamuzi kukiuka taratibu za mchezo.


Rais wa Chama cha Ngumi Tanzania (TPBRC) Chaurembo Palasa ametangaza kulifuta pambano la raundi nne kati ya Bondia Karim Mandonga dhidi ya Salim Abeid kutokana na Mwamuzi wa pambano hilo kutotenda haki kwa kuchezesha chini ya kiwango.

"Watu wote tumeona pambano lilivyokwenda, kwa mamlaka niliyo nayo pambano hili nimelifuta kwa sababu refa hakufanya haki, kwa hiyo pambano nimelifuta na halina mshindi," amesema Chaurembo.

Pambano hilo ambalo ni la saba kwa mandonga tangu aanze kucheza ngumi za kulipwa, lilikuwa la utangulizi katika pambano kati ya Mtanzania Twaha Kiduku na Abdo Khaled,raia wa Misri, wanaowania mkanda wa UBO Intercontinental.


Pambano hilo lilikuwa la utangulizi katika pambano kati ya Mtanzania Twaha Kiduku na Abdo Khaled,raia wa Misri, wanaowania mkanda wa UBO Intercontinental.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad