Ray J Ailipua Tena Familia ya Kim Kardashian "Mama Kim Alisaini Mikataba ya Kuuza Mkanda wa Ngono wa Mwanae Kim"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ray J(41) amlipua mama yake Kim Kardashian, Kris Jenner(66) kwamba ndie aliyesuka mpango mzima kwa mkataba ili kuvujishwa mkanda wake wa ngono na binti yake huyo mwaka 2007. Hiyo tisa, kumi Ray J ameenda ndani zaidi kusema kuwa Mama yake Kim aliwahimiza warudie kuushuti mkanda karibia mara tatu ili binti yake aonekane katika angle nzuri zaidi

Katika kipindi kipya cha The Kardashian kupitia Hulu, familia hiyo ilionekana kujadili tena suala la mkanda huo kitu ambacho kimeonekana kumtibua waziwazi Ray J hivyo kuibuka kusema mara zote familia hiyo inamuongelea katika namna aonekane yeye Ray J ndie aliuvujisha na hata katika interview mpya mama yake Kim alipoulizwa alikataa kumsaidia binti yake kuachia mkanda husika na kudai hasemi uongo

Ray J ameeleza mama yake Kim ndie alisaidia wao wasaini mkataba kupitia kampuni ya Vivid na baadaye Ray J na Kim Kardashian(41) wakajulishwa kwa email kuwa mkanda husika umeingiza pesa zaidi ya dola milioni $1 mwaka 2007 mauzo zaidi yakitoka katika DVDs kisha Ray J na Kim kugaiwa faida ya mauzo kila mmoja

Ray J ameonesha sehemu ya ushahidi wa mkataba, mwandiko wa Kim na email walizotumiwa mwaka 2007 yeye na Kim toka kampuni husika

Ray J na Kim walianza kuwa wapenzi 2003 hadi 2006 kipindi ambapo Ray J ndie star Kim akiwa hana umaarufu wowote. Lakini kuvujishwa kwa mkanda husika wa ngono ndio hasa ikawa tiketi ya Kim Kardashian kutupwa katika ulimwengu wa umaarufu ghafla na sasa kawa Bilionea

Baada ya Ray J kusema Kris Jenner ndie alimsaidia mwanae mkanda uvujishwe, Kim Kardashian na Mama yake bado kuzungumza kujibu alichosema Ray J ambaye amesema amechoka kuvumilia na kuonekana mbaya siku zote
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad