Bondia Hassan Mwakinyo Afunguka "Sijafungiwa Jamani Waandishi Kuweni Makini Mnayoripoti"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Bondia wa Kimataifa kutoka Tanzania, Hassan Mwakinyo ametolea maelezo taarifa za kufungiwa kufanya pambano lolote Uingereza,

Hassan Mwakinyo, Ameandika,
"Guys naomba niweke sawa kuhusiana na huo uvumi Mimi sijafungiwa kama wana habari wanavyo eneza ila “British boxing borde control” ni moja ya Sheria yake hairuhusu mchezaji yoyote aliepoteza kwa tko au k o kurudi ulingoni kwa muda wa siku 45 zipite mpaka siku 60 lakini hio haimaanishi mtu huyo kuvunja Sheria au kufanya kosa lolote lile ambalo litagharimu yeye kutocheza pale tena… nimeweka picha mbili hapo uki swipe utanielewa na muwe makini na habari hizo mnazo eneza ukiwa mwana habari wa michezo lazima ujifunze kujua sheria kabla kuongelea jambo".
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad